Wednesday, July 31, 2013

Taswira Maalum Kutoka IKULU:Taswira Mbalimbali Za Rais Jakaya Kikwete Akimpokea Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana kwa ziara rasmi ya siku tatu

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  akikagua gwaride maalum la heshima lililoandaliwa kwaajili yake mara baada ya kuwasili nchini
  Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra na Mwenyeji wake rais Jakaya Kikwete wakikagua ngoma.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  akisalimiana na baadhi ya raia wa Thailkand wanaoishi nchini alipowasili katika hoteli ya Kilimanjaro Regency Hyatt jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha mandhari ya bandari ya salama Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiingia Ikulu nwa mgeni wake  Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili jana  Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili na ujumbe wake jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo rasmi na Waziri Mkuu wa Thailand Mhe Yingluck Shinawatra  alipowasili na ujumbe wake jijini Dar es salaam jana Julai 30, 2013 kwa ziara rasmi ya siku tatu nchini.Picha na IKULU
SOURCE:Haki ngowi  blog

No comments:

Post a Comment