Tuesday, July 23, 2013

PICHA: MAJERUHI WA AJALI YA GARI YA JESHI ILIYOKUWA UKIELEKEA MAZIKONI KWA WANAJESHI WALIOFARIKI DARFUR.

Askari wa Jeshi la ulinzi wakisaidiana kuondoa majeruhi wa eneo la ajali ambayo imetokea maeneo ya Mwanakwerekwe sokoni umbali wa mita 300 kutoka makaburi ya Mwanakwerekwe walipozikwa wanajeshi hao.







Madaktari wakitoa huduma ya kwanza kwa wanajeshi na wananchi waliojeruhiwa kwenye ajali ya gari ya jeshi iliyokuwa ikielekea mazikoni kwa wanajeshi walifariki Darfur.










No comments:

Post a Comment