Wednesday, August 14, 2013

RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki,(EAMJA) ulioanza leo katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
M.M


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) pamoja na Majaji wa Nchi za Afrika Mashariki, wakisimama wakati wimbo wa Taifa wa Nchi hizo ukipigwa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa mwaka kwa Nchi hizo,ambao utakchukua siku tatu katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Hotel,iliyopo nje ya Mji wa Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment