Monday, August 5, 2013

PICHA ZA CLOUDS MEDIA

KUFURU LA FUTARI LA CLOUDS MEDIA GROUPS KWA WAFANYAKAZI WAKE!! HAPAKUTOSHAZZZ!!



Kampuni ya Clouds Media Group mwishoni mwa wiki iliandaa Ftari ya pamoja kwa wafanyakazi wake na baadhi ya wadau mbalimbali,maeneo ya Sinza-jijini Dar Salaam.Pichani kushoto ni  Mkurugenzi wa vipindi na utafiti,Ruge Mutahaba pamoja na Meneja Vipi wa Clouds FM Sebastian Maganga wakiongoza wageni waalikwa mbalimbali kupata ftari.Pichani chini ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wadau wengine waalikwa wakijipakulia ftari safi kabisa. - See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/08/kufuru-la-futari-la-clouds-media-groups.html#sthash.mXCsxxIE.dpuf
Kampuni ya Clouds Media Group mwishoni mwa wiki iliandaa Ftari ya pamoja kwa wafanyakazi wake na baadhi ya wadau mbalimbali,maeneo ya Sinza-jijini Dar Salaam.Pichani kushoto ni  Mkurugenzi wa vipindi na utafiti,Ruge Mutahaba pamoja na Meneja Vipi wa Clouds FM Sebastian Maganga wakiongoza wageni waalikwa mbalimbali kupata ftari.Pichani chini ni baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wadau wengine waalikwa wakijipakulia ftari safi kabisa. - See more at: http://williammalecela.blogspot.com/2013/08/kufuru-la-futari-la-clouds-media-groups.html#sthash.mXCsxxIE.dpu






No comments:

Post a Comment